Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, June 18, 2012

HAPPY FATHER'S DAY WADAU

Swahilivilla inawatakia wadau wote HAPPY FATHER'S DAY, M/Mungu awajalie mafunzo meema ya kuwafunza watoto wetu madili meema ya kumcha M/Mungu, hilo ndio muhimu na mengine yatafata. UJUMBE: Kuzaa sikupata, kupata majaliwa, mtoto kakua kampiga mama yake akachoma na nyumba moto. M/Mungu atunusuru kwa hayo ..HAPPY FATHER'S DAY WADAU

No comments:

Post a Comment