Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Monday, February 28, 2011

WAKENYA WANYAKUWA USHINDI WA MARATHON 2011


Mshindi wa mbio za umbali wa Km 42 Kipkemoi Kipsang wa Kenya akimalizia mbio hizo kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi katika mashindano ya Kimataifa ya Kilimanjaro 2011.Alizawadiwa sh. miloni 3.

Mshindi wa kwanza wa mbio za umbali wa Km 42 kwa upande wa wanawake, Anna Kamau kutoka Kenya akimalizia mbio hizo kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi katika mashindano ya Kimataifa ya Kilimanjaro 2011.Alizawad iwa sh. miloni 3.

Mshindi wa kwanza wa mbio za Km 42,Kipkemoi Kipsang (kulia) wa Kenya akichuana vikali na mkenya mwenzie Julius Kilimo muda mfupi kabla ya kumaliza mbio hizo. Kilimo alishinda nafasi ya pili.

Newar Twist akikimbia na mbwa wake,Barney Twist katika mashindano ya mbio za Km 21 katika mashindano ya kimataifa ya Kilimanjaro 2011, mjini Moshi leo.Yeye na mbwa wake walimaliza mbio ambapo hata mbwa alikabidhiwa medali na fulana vitu ambavyo kila mshiriki wa mashindano hayo alipatiwa.

Mmoja wa washiriki wa mashindano hayo akikimbia huku akiwa na bendera ya Taifa jana eneo la Mwika.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

NTVKenya: Bull's-Eye: Moments of madness

TUNISA: MOHAMED GHANNOUCHI ATANGAZA KUJIUZULU…!!!


Waziri mkuu wa Tunisia Mohamed Ghannouchi ametangaza kujiuzulu baada ya kuzuka maandamano mapya katika nchi hiyo iliopo Kaskazini mwa Afrika.

Saa chache baadaye wakili Beji Caid Essebsi alitajwa kuchukuwa wadhfa huo.
Waandamanaji katika mji mkuu Tunis walitaka pia wabunge wakuu wa serikali ya mpito waondolewe.

Wachambuzi wa mambo wamemlaumu Ghannouchi kwa kushindwa kutekeleza mabadiliko na kuwa karibu mno na rais aliyekuwepo Zine al Abidine Ben Ali, aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi maarufu yaliofanyika mwezi uliopita. Ghannouchi alitarajiwa kuiongoza nchi hiyo hadi uchaguzi mpya utakapofanyika.

KISIWANI ZANZIBAR: UZINDUZI WA MGAO WA WANAVIKUNDI NA MAMA MWANAMWEMA SHEIN


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akizinduwa Kisanduku cha Wanavikundi cha Kufuli Tatu, akifunguwa kofuli wakati wa uzinduzi wa mgao wa Fedha kwa Vikundi hivyo uliofanyika katika viwanja vya skuli ya Msingi Fujoni na kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Tanzania Mama Asha Seif Iddi

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi Mgao Mwanakikundi cha Maendeleo Halima Simai. katika sherehe za uzinduzi wa Mgao wa Wanavikundi uliofanyika katika viwanja vya skuli ya msingi Fujoni.

Baadhi ya akinamama waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wakishuhudia.

MRATIBU Mradi wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mgoli Lucian akitowa maelezo kwa Wanajamii wa Kijiji cha Paje katika mkutano wa kuelimisha madhara ya dawa za kulevya na maambukizo ya Ukimwi kwa Vijana yaliofanyika katika kijiji cha Paje na kushirikiana na ICAP NA CDC.

GADDAFI ADHARAU VIKWAZO VYA UMOJA WA MATAIFA…!!!


Kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi amepuuza vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi yake na kusema makundi madogo ya waasi wanaopinga utawala wake hayatafanikiwa.

Jumamosi iliyopita Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liliomba suala la vurugu zinazofanywa dhidi ya raia nchini Libya liwasilishwe katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) hatua ambayo inaungwa mkono na Ujerumani.

Mpaka sasa idadi ya watu waliofariki kwenye vurugu za karibu wiki mbili nchini Libya haijulikani vizuri, lakini makadirio ni kuwa kati ya watu 1000 na 2000 wamefariki.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kushughulikia Wakimbizi (UNHCR) linakadiria kuwa watu laki moja wameikimbia Libya wiki iliyopita.

Wakati huo huo Mawaziri wa mambo ya Nje duniani wanakutana mjini Geneva kujadili hatua watakazochukua kufuatia kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu nchini Libya.

Maafisa wa umoja wa Mataifa wamesema makumi kwa maelfu ya wahamiaji – wengi wakiwa wametoka Misri, wamekwama karibu na mpaka wa Libya na Tunisia wakihitaji chakula na malazi.

Katika hatua nyingine Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ameongeza uzito katika shinikizo la kimataifa juu ya Kanali Muammar Gaddafi kuachia madaraka huku maandamano ya kupinga utawaka wake yakienea nchi nzima.

Waziri Mkuu huyo amemtaka kiongozi huyo wa Libya kuondoka wakati huu na kuwa nchi hiyo haina mtazamo wa siku zijazo unaomhusisha yeye.

Uingereza imezuia mali anazomili na za familia yake zilizoko Uingereza, na kuwaondolea kinga ya kidiplomasia.

SIMBA YATOKA MIKONO JUU DHIDI YA SUGAR


Wachezaji wa timu za mtibwa Sugar na wa Simba, wakiruka kuwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo jioni. katika mchezo huo Simba imeshinda mabao 4-1.

VIROJA VYAANZA LIGI WILAYA YA MJINI

Mashabiki, wachezaji wachapana, kanuni zakiukwa

Na Mwajuma Juma

MICHEZO miwili ya ligi daraja la pili Wilaya ya Mjini katika viwanja viwili tafauti, imeshinda kumalizika kwa sababu mbalimbali zikiwemo vurugu za mashabiki.

Pambano lililozikutanisha timu za Dynamo na University katika uwanja wa Amaan B, lilivunjika kabla ya wakati baada ya kutokea vurugu baina ya wachezaji na mashabiki.

Tafrani hiyo ilitokea katika dakika ya 79 ambapo hali ya amani ilitoweka na muamuzi Sunday Nhomba, kuamua kuuvunja mchezo huo, huku University ikiongoza kwa magoli 2-0, yaliyofungwa na Omar Mohammed na Ramadhan Rashid.

Na katika mchezo mwengine uliochezwa uwanja wa Jeshini, timu ya Maji Maji iliyokuwa imepangwa kuivaa Vijana, ilifika uwanjani bila kuwa na leseni za wachezaji, huku karatasi ya majina ya wachezaji wake ikionesha majina tafauti na ya wale waliokuwepo uwanjani.

Hata hivyo, mchezo huo ulichezwa bila Maji Maji kutimiza kanuni hiyo, lakini baada ya dakika 45 za kwanza, muamuzi Shaaban Sadik aliuvunja kutokana na timu hiyo kushindwa kuwasilisha vitu hivyo hata baada ya kupewa muda.

Hadi muamuzi anavunja mchuano huo, matokeo yalikuwa sare ya 1-1, ambapo Vijana lilifungiwa goli lake na Machano Masoud, huku Said Mbwana akipachika lile la Maji Maji.

Kuhusiana na kasoro hizo, Katibu Msaidizi wa ZFA Wilaya ya Mjini Omar Mohammed, alisema hatima za matokeo ya mechi hizo, itajulikana baada ya kupata ripoti za waamuzi na makamisaa.

Matokeo ya mechi nyengine za ligi hiyo mwishoni mwa wiki, yalikuwa FC Roma 4, Mwembenjugu 0, Zainab Bottlers 1, Star Kids 1, Super Sports 3, Magomeni 2, Jang'ombe Boys 2, Dangers 1, Spirit 2, Union Rangers 2.

Aidha Maruhubi iliifunga Kundemba 3-1, Red Stars ikang'ara mbele ya El Hilal kwa ushindi wa magoli 4-1, na Kombora ikairipua Enugu mabao 2-0.

Wigan Yakumutwa 4-0 Na Time Ya Man Utd






Wigan 0-4 Man Utd 

Michezo mingine iliyochezwa mwishoni mwa juma hili ni.

Manchester City 1-1 Fulham .Newcastle 1-1 Bolton . Wolves 4-0 Blackpool
Aston Villa 4-1 Blackburn Everton 2-0 Sunderland
West Ham utd 3-1 Liverpool

JUMATATU; Stoke v West Brom

2011 Oscars Red Carpet Quotes

TV personality Shaun Robinson arrives at the 83rd Annual Academy Awards.

Actress Cheryl Hines arrives at the 83rd Annual Academy Awards

TV personality Maria Menounos arrives at the 83rd Annual Academy Awards held at the Kodak Theatre on February 27, 2011 in Hollywood, California.
(February 26, 2011
Hailee Steinfeld
Before Hollywood's hugest stars slip into the Kodak Theatre for the 83rd Annual Academy Awards, they stop and talk to Ryan Seacrest and Giuliana Rancic on E!'s Live From the Red Carpet.

Oscars Darlings
If there's any night Hollywood gets truly glamorous, it's Oscars night. See which stars were big winners on the red carpet at the 2011 Academy Awards!

83rd annual Academy Awards: Winners list


"Black Swan"
"The Fighter"
"Inception"
"The Kids Are All Right"
"The King’s Speech" - WINNER
"127 Hours"
"The Social Network"
"Toy Story 3"
"True Grit"
"Winter’s Bone"

Best actor

Javier Bardem, "Biutiful"
Jeff Bridges, "True Grit"
Jesse Eisenberg, "The Social Network"
Colin Firth, "The King's Speech" - WINNER
James Franco, "127 Hours"
Best actress

What did you think? Actress Natalie Portman (R), winner of the award for Best Actor in a Leading Role for 'Black Swan', and presenter Jeff Bridges.
Annette Bening, "The Kids Are All Right"
Nicole Kidman, "Rabbit Hole"
Jennifer Lawrence, "Winter's Bone"
Natalie Portman, "Black Swan" –WINNER
Michelle Williams, "Blue Valentine"
Supporting actor.


Christian Bale, "The Fighter" - WINNER
John Hawkes, "Winter's Bone"
Jeremy Renner, "The Town"
Mark Ruffalo, "The Kids Are All Right"
Geoffrey Rush, "The King's Speech"
Supporting actress

Actor Christian Bale accepts the award for Best Performance by an Actor in a Supporting Role.
Amy Adams, "The Fighter"
Helena Bonham Carter, "The King's Speech"
Melissa Leo, "The Fighter" - WINNER
Hailee Steinfeld, "True Grit"
Jacki Weaver, "Animal Kingdom"
Director


Darren Aronofsky, "Black Swan"
David O. Russell, "The Fighter"
Tom Hooper, "The King's Speech" - WINNER
David Fincher, "The Social Network"
Joel Coen and Ethan Coen, "True Grit"
Animated feature
"How to Train Your Dragon"
"The Illusionist"



"Toy Story 3" - WINNER
Foreign language film

"Biutiful"
"Dogtooth"
"In a Better world" - WINNER
"Incendies"
"Outside the Law"
Documentary feature

"Exit Through the Gift Shop"
"Gasland"
"Inside Job" - WINNER
"Restrepo"
"Waste Land"
Documentary short

"Killing in the Name"
"Poster Girl"
"Strangers No More" - WINNER
"Sun Come Up"
"The Warriors of Qiugang"

Adapted screenplay
"127 Hours"
"The Social Network" - WINNER
"Toy Story 3"
"True Grit"
"Winter’s Bone"
Original screenplay

"Another Year"
"The Fighter"
"Inception"
"The Kids Are All Right"
"The King’s Speech" - WINNER
Art direction

"Alice in Wonderland" - WINNER
"Harry Potter and the Deathly Hallows: Part I"
"Inception"
"The King's Speech"
"True Grit"
Cinematography

Obama Welcomes Governors to White House

Sunday, February 27, 2011

Mallorca vs Barcelona 0-3 Highlights Video

REAL MALLORCA jana ilipoteza mchezo yake dhidi ya FC BARCELONA kwa bao 0 - 3 kwenye dakika ya 30 mchezo uliaza kubadilika kwa kasi, dakika ya 37 wakati MESSI alipoanza machakanyanga yake, kwa bao la kwanza. Akifatiwa na mchezaji DAVID VILLA aliefunga goli la pili kwenye dakika ya 56 na PEDRO katika dakika ya 66. Kwenye game hiyo.

BONGO FLAVA YATOKA MIKONO JUU DHIDI YA BONGO MOVIE KWA BAO 2-0…!!!


Mshambuliaji wa timu ya Bongo Flava Ali Kiba akijaribu kutaka kumtoka beki wa timu ya Bongo Movie katika mtanange wa Kuchangia maafa ya Gongo La Mboto uliomalizika jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar. Bongo Flava iliibuka kidedea kwa mabao 2-0 yaliyotiwa fungwa na mshambuliaji H. Baba katika kipindi cha kwanza cha mchezo.

Mshambuliaji wa kushoto wa timu ya Bongo Flava KR Mullah akimtoka mchezaji wa timu ya Bongo Movie katika mchezo uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa.

Mshambuliaji wa timu ya Bongo Flava H. Baba akiipatia timu yake bao la kuongoza dhidi ya Bongo Movie katika mtanange wa kuchangia maafa ya Gongo la Mboto uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar.

Bongo Flava wakishangilia ushindi waoo.

Kwa picha zaidi tembelea http://michuzi-matukio.blogspot.com/

ITALY: DEL PIERO BADO KUENDELEA NA JUVENTUS.

Alessandro Del Piero
Mshambuliaji wa kimataita toka nchini Italia Alessandro Del Piero amekubalia kusaini mkataba maalum na uongozi wa klabu yake ya Juventus ambao utamuwezesha kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja ujao.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 36 amekubali kusaini mkataba huo maalum, kwa lengo la kuendelea kuwaridhisha viongozi pamoja na mashabiki wake ambao bado wanatamani kumuona akiendelea kuwepo huko Stadio del Alpi.

Mkataba huo umejumuisha masuala muhimu kati ya Alessandro Del Piero dhidi ya viongozi wake ambao bado watakuwa na nafasi nyingine ya kumuongezea chochote kitu pale atakapofikia melngo wanayoyahitaji.

Akizungumza kupitia televisheni ya klabu hiyo ya nchini Italia Alessandro Del Piero amesema mkataba aliousaini umejumuisha masuala mengi ambayo ni ya siri hivyo ataendelea kuwepo klabuni hapo kama wengi walivyokua wakihitaji.

Amesema mbali na kusaini mkataba huo pia huenda akasaini mkataba mwingine ambao utamuwezesha kuvaa jezi isiyo an maandishi yoyote ya klabu ya Juventus ambayo kwa hivi sasa ina maandishi ya kampuni inayotengeneza vyakula vya wanga nchini italia.

Alessandro Del Piero mpaka sasa ameshaitumikia klabu ya Juventus 667 na amefanikiwa kufunga maboa 280 toka alipojiunga na Juventus mwaka 1993 akitokea Calcio Padova FC.

RAIS WA DK SHEIN AWASHUKURU VIONGOZI WA MASKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,akizungumza na wenyeviti na makatibu wa Maskani za CCM Mkoa wa Mjini na Magharibi,alipowashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya uchaguzi wa salama katika Mkoa huo, mazungumzo hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa CCM Mkoa,Amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Magharibi, huko Afisi ya CCM Mkoa Amani.

Baadhi ya akinamama waliohudhuria katika hafla hii iliyofanyika Ofisi ya CCM Mkoa, Amani

Wenyeviti wa matawi mbali mbali ya Chama cha Mapinduzi ya Mkoa wa Mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,a Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM DK Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wenyeviti na makatibu wa maskani za chama hicho jana,katika ukumbi wa CCM Mkoa,Amani. (Picha na Ramadhan Othman) Ikulu.

Saturday, February 26, 2011

FM ACADEMIA HATUITAKI KILI MUSIC AWARD

NALO KUNDI LA FM ACADEMIA WAZEE WANGWASUMA WAKIONGOZWA NA NYOSHI ELSAADAT WAMEDAI KUWA HAWATAKI KUSHIRIKI KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD KUTOKANA NA KUTOTENDEWA HAKI . 

NYOSHI ALIIAMBIA BAMBATAA BLOG KUWA KAMWE HAWAUTAMBUI UMUHIMU WA TUNZO HIZO NA WAO KAMA BENDI YA NDANSI NDIO MAANA WAMEAMUA KUJITOA NA HAWATAKI KUSHIRIKI TUZO HIZO AMBAZO FM ACADEMIA HAPO AWALI WALIKUWA WAKISHIRIKIA KAMA KAWAIDA. 

HAWA KILI BWANA WANACHEZA NA KILI ZETU NA SHANGAA KWANINI KIPINDI HIKI ALBUM YETU YA VUTA NI KUVUTE HAIKUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISWA KATIKA KINYANGANYIRO CHA ALBUM BORA ? AU NI KWASABABU BENDI WALIZOKUWA WANAZITEGEMEA KUTOA ALBUM HAWAKUTOA MWAKA JANA TULITOA ALBUM LAKINI KWANINI WANATUONEA SIKUZOTE ALIHOJI NYOSHI.

Video: Nyimbo Ya Wa Mungu uwazi-Sabah Salum

KOCHA ASEMA USHINDI DHIDI YA BURUNDI NI MUHIMU..!!!

Amavubi Sellas Tetteh
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya soka ya Rwanda ‘Amavubi’ Sellas Tetteh amezungumzia umuhimu wa kushinda mechi ijayo ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Africa 2012 dhidi ya Burundi inayotarajiwa kuchezwa Machi 26 mwaka huu.

Baada ya kupoteza mechi za kwanza za kufuzu dhidi ya Ivory Coast na Benin, Rwanda imejikuta ya mwisho katika kundi H huku ikiwa haina hata pointi moja, ambapo kocha Tetteh amesisitiza kuwa ushindi dhidi ya Burundi sio tu utafufua matumaini ya nafasi ya nchi hiyo kufuzu, bali utaamsha morali ya wachezaji.

Ivory Coast inaongoza kundi hilo ikiwa na pointi 6, ikifuatiwa katika nafasi ya pili na Benin yenye pointi 4 wakati Burundi ni ya tatu ikiwa na pointi 1.

SITOTEMBELEA TENA MJI WA DENVER: GEORGE W. BUSH…!!!

Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amesema hatatembelea tena mji wa Denver mwishoni mwa wiki hii kama ilivyokuwa imepangwa, kwa sababu muasisi wa mtandao wa WikiLeaks Julian Assange pia amealikwa kuhudhuria mkutano ambao yeye alialikwa.

Msemaji wa kiongozi huyo wa zamani David Sherzer amesema Bush alipanga kuhudhuria mkutano wa Global Leadership wa Young Presidents’ Organization leo Jumamosi, lakini ameahirisha baada ya kugundua kuwa Assange amealikwa pia.

Gazeti la Denver Post limeripoti kuwa upo uwezekano wa Assange kuhudhuria mkutano huo yeye mwenyewe, kwa kuwa hapo jana alionekana katika mkutano huo kupitia mtandao wa video (Video Link).

Assange amekuwepo nchini Uingereza akipambana kuzuia kupelekwa nchini Sweden kukabiliana na mashitaka ya ubakaji, huku wanasheria wake wakizua hofu kuwa anaweza kukamatwa na mamlaka ya Marekani inayochunguza iwapo Assange na mtandao wake wa WikiLeaks ulisambaza kinyume cha sheria nyaraka za siri za serikali.

Mtandao wa WikiLeaks ulitoa makumi kwa maelfu ya nyaraka za jeshi la Marekani kuhusu vita nchini Afghanistan na Iraq na kuhusu juhudi za kidiplomasia za Marekani duniani kote, hatua iliyowakasirisha sana maafisa wa Marekani.

Simon Cowell 'Buys Multi-Million Pound Homes For Fiancee And Her Parents'

Simon Cowell has reportedly paid £3million for a Los Angeles mansion for his fiancee Mezhgan Hussainy - and another $4million for another home for her parents. The properties are both only two miles from the X Factor creator's £13million property in Beverly Hills - which has its own tanning salon and butler's quarters. A source told the Daily Mirror: 'Mish's parents aren't particularly wealthy and have worked hard all their lives to provide for their kids, so Simon wanted to give something back.

Gifts for the family: Simon Cowell and his fiancee Mezhgan Hussainy in London this week

'Simon has also bought Mish her own house as a means of guaranteeing her financial security come what may.
'And if they have an argument it means she has somewhere to disappear to. It's the perfect scenario.'

The source also praised Cowell as an 'extremely thoughtful and generous guy' Make-up artists Miss Hussainy's parents are originally from Afghanistan, where they lived in a tiny home until fleeing the Soviet invasion 30 years ago. They trekked through the mountains to Pakistan with their daughter, then six, and paid smugglers to take them across the border.

MAANDAMANO MAKUBWA YAFANYIKA MJI MKUU WA TUNISIA..!!!


Polisi nchini Tunisia wamelazimika kutumia nguvu kuwatawanya waandamanaji waliokusanyika katika mji mkuu wa Tunis wakitaka kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa mpito Mohammed Ghannouchi ambaye ni mshirika wa muda mrefu wa kiongozi wan chi hiyo aliyekimbia madarakani.

Maandamano hayo ni makubwa kuwahi kufanyika tangu aliyekuwa rais Zine al-Abidine Ali akimbilie Saudi Arabia mwezi uliopita baada ya kukaa madarakani kwa muda wa miaka 23, kutokana na kulazimishwa na nguvu ya umma.

Serikali ya mpito ya Waziri Mkuu Ghannouchi imeahidi kufanyika kwa uchaguzi katikati ya mwezi Julai.

Hata hivyo umati wa watu umeandamana katika mji mkuu huku wakiimba nyimbo za kumtaka Ghannouchi kuondoka madarakani.

Baadae polisi ilibidi watumie mabomu ya machozi na risasi za tahadhari kutawanya maandamano hayo kutoka nje ya wizara ya mambo ya ndani, ambapo mashuhuda wamesema mtu mmoja alijeruhiwa wakati polisi walipofyatua risasi ya tahadhari katika umati wa watu, ambao wengine wanakadiria ulifikia watu 100,000.

Bw. Ghannouchi amefanyakazi chini ya Ben Ali tangu mwaka 1999.

U.S. Citizens And 118 Other Foreigners On Board the Ferry

Safe now: Passengers disembark from the U.S. chartered ferry Maria Dolores after they arrived in Valletta's Grand Harbour in Malta from Libya

Relief: A U.S. embassy worker helps a mother and her child as they arrive in Malta from Libya. There were 167 U.S. citizens and 118 other foreigners on board the ferry
'Get ready to fight for Libya! Get ready to fight for dignity! Get ready to fight for petroleum! .... Respond to them, put them to shame.

'Muammar Gaddafi is among you. I stand among the people and we will fight and we will kill them if they want ... Look at the people's force. This is the people's force that cannot be defeated.'
There were also unconfirmed reports that sections of Tripoli were under opposition control, while CBS producer Ben Plesser revealed movement around the city was not difficult.

But today Gaddafi's son Saif al-Islam said the family had no intention of fleeing Libya, and claimed the government was still in control of the west, south and centre of the country.
'We have plans A, B and C,' Saif told Turkish news channel CNN-Turk. 'Plan A is to live and die in Libya. Plan B is to live and die in Libya. Plan C is to live and die in Libya.'

Saif al-Islam suggested he would seek a ceasefire in the Western cities of Zawiyah and Misrata. 'The army decided not to attack the terrorists, and to give a chance to negotiation. Hopefully we will do it peacefully and will do so by tomorrow,' he said.

Earlier, chanting protesters had streamed out of mosques near downtown Tripoli's Green Square and other districts after prayers, to be confronted by heavily-armed troops and mercenaries - from neighbouring African countries - who opened fire, according to witnesses.
There were even reports of snipers hiding on rooftops and firing down into crowds of marchers in the square below.

VOODOO RITUAL SPARKS FATAL NEW YORK APARTMENT FIRE..!!!


An apartment fire in New York City that killed a retired school teacher last weekend was sparked by candles lit for a voodoo ritual to bring good luck.

The blaze began after a woman visited the apartment of a man in Brooklyn and paid him to perform the ritual.

Candles on the floor then ignited bed linens either while the couple was having sex or briefly afterwards.

City officials said it is not known if intercourse was part of the ceremony.

The woman reportedly paid the man, who is known as a priest in the neighborhood of Flatbush, $300 (£185) to carry out the service.

The man first tried to put the fire out using water from a bathroom sink, but the blaze quickly spread after a window was opened, allowing wind to fan the flames, a fire department official said.

Mary Feagin a 64-year-old resident of the building, was trapped by the blaze and was later found dead in the building.

Eleven residents and 20 firefighters were injured in the fire, while 50 families were left without a home.

It took nearly seven hours and close to 200 firefighters to bring the blaze under control.

It is not believed the ceremony that caused the fire was an official voodoo ritual, but rather a home-grown practice.

Protesters vow to march on Gaddafi's palace.. Inlibya

Civilian protesters armed with weapons looted from abandoned security installations in Libya's second city of Benghazi on Friday vowed to march on Col Muammar Gaddafi's palace in Tripoli.
Libyans carry the bodies of three more victims of the violence in Benghaz.

A mood of fresh jubilation swept Benghazi, the epicentre of the uprising against Mr Gaddafi's 41 year rule, as its inhabitants marked a week since the start of their revolt. As newly written revolutionary songs blared from a loudspeaker, thousands gathered in the square outside Benghazi's court buildings, mustering once more on the spot where Libya's protests began.

It was here that eastern Libya, where Mr Gaddafi's rule has been most brutal, found its voice.
Inspired by revolutions in Egypt and Tunisia, people once too terrified even to whisper criticism of their "brother leader" gathered here first to denounce the arrest of a prominent human rights lawyer and then to call for the overthrow of the regime itself. For their courage, the people of Benghazi paid a terrible price, mowed down in their hundreds by Mr Gaddafi's security forces and hired mercenaries.

NYADHIFA MUHIMU KUTANGAZWA GAZETINI NCHINI KENYA…!!!


Tume ya Huduma za Umma nchini Kenya hivi karibuni inakusudia kutangaza nafasi za kazi ya Mkurugenzi wa Mashitaka ya Umma na Mdhibiti wa Bajeti.

Waziri wa Huduma za Umma Dalmas Otieno amesema nafasi hizo mbili zitatangazwa katika magezeti ya kila siku ya nchini humo ili kuhakikisha hatua zote halali zinafuatwa katika kuwapata maafisa hao wawili.

Waziri Otieno amesema ni muhimu kufuata taratibu zote kama zilivyoainishwa kwenye katiba mpya.

Amesema watazitangaza nafasi hizo ili kumaliza utata uliopelekea kutenguliwa kwa uteuzi wa awali.

Akizungumza wakati wa warsha ya Makatibu Wakuu iliyozungumzia uongozi na Maadili iliyofanyika Diani katika Pwani ya Kusini, waziri huyo amesema ipo haja ya kuajiri viongozi ambao wana maadili na hasio na rekodi ya uhalifu wala rushwa.

Inkenya: Bull's-Eye: Moments of madness

HALI SI SHWARI KWA RAIA WA KIGENI IVORY COAST…!!!

Kiongozi huyo Charles Ble Goude ambaye hivi karibuni aliteuliwa na kiongozi anayeng’ang’ania madaraka Laurent Gbagbo kuwa Waziri wa Vijana, amesema mzozo wa kisiasa sasa unaelekea pabaya hivyo ni muda kwa wananchi wa Ivory Coast kuilinda nchi yao na pia amewataka pia raia hao kuzuia shughuli za Umoja wa Mataifa.

Amri ya kutotembea usiku iliyowekwa nchi nzima imeendelea kwa mara ya pili mfululizo mwishoni mwa wiki, baada ya wiki moja ya mapigano kati ya vikosi vya usalama vinavyomtii Gbagbo na wanajeshi wa mpinzani wake Alassane Ouattara, mapigano yaliyosababisha vifo kadhaa.

Serikali ya Gbagbo pia imetangaza kwamba vikosi vya jeshi vya Umoja wa Mataifa na Ufaransa havitapata tena mafuta.

MAJADILIANO YA PAMOJA KATIKA UTUMISHI WA UMMA


WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, akifungua Baraza la Pili la Majadiliano ya pamoja katika Utumishi wa Umma, katika ukumbi wa wizara hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Wajumbe wa Baraza hilo, Hamis Dihenga, Geonge Yambesi na Mathias Kabunduguru.

BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WATAKIWA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA DHIDI YA LIBYA…!!!


Balozi wa Libya katika Umoja wa Mataifa Bw. Mohammed Shalgham amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka kuwalazimisha viongozi wa Libya kuacha kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji nchini humo.

Akizungumza baada ya kikao maalum cha Baraza la Usalama la Umoja huo, Bw. Shalgham amesema nguvu inayotumika nchini Libya dhidi ya raia ni lazima ikomeshwe.

Hata hivyo mwanadiplomasia huyo amesema wazi kuwa hatua zozote zitakazochukuliwa na Umoja wa Mataifa zinapaswa kuwa vikwazo dhidi ya kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi na familia yake na sio dhidi ya watu wa Libya.

KATIKA HATUA NYINGINE

Mataifa ya Umoja wa Ulaya yamekubaliana kimsingi kuweka vikwazo vya silaha dhidi ya Libya, pamoja na kuzuia viza na mali za viongozi wa utawala wa Kanali Muammar Gaddafi.

Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Ujerumani imesema kuwa vikwazo hivyo vitahusu vifaa vya kijeshi na mali ambazo zinaweza kutumika kuwakandamiza waandamanaji wanaopigania demokrasia.

Vikwazo hivyo vinatarajiwa kuanza kutumika wiki ijayo, ambapo taarifa za kidiplomasia zimeeleza kuwa mataifa ya kusini mwa Umoja wa Ulaya kama vile Italia, yamekuwa yakisita kuweka vikwazo zaidi kwa hofu kwamba Gaddafi anaweza kulipiza kisasa dhidi ya maelfu ya raia wa umoja huo ambao bado wako nchini Libya.

WAKATI HUO HUO

Utawala wa rais Barack Obama wa Marekani umezizuia mali za serikali ya Libya, mali za Kiongozi wa nchi hiyo Kanali Muammar Gaddafi na za watoto wake wanne, saa chache baada ya kufunga ubalozi wake mjini Tripoli na kuwaondoa wanafanyakazi wake.

Maafisa wa Marekani wamesema hatua hizo hazikutangazwa mapema, mpaka pale raia wa Marekani waliokuwa wakitaka kuondoka nchini Libya walipoondoka, kwa kuhofia kuwa Gaddafi angeweza kulipiza kisasi kwa raia hao.

Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani, Rais Obama ameushutumu utawala wa Gaddafi kwa kukiuka haki za binadamu, kuwatesa watu wake na kutoa vitisho, na kuongeza kuwa Gaddafi, serikali yake na washirika wake wa karibu wamechukua hatua zilizopitiliza dhidi ya watu wa Libya, ikiwemo kutumia silaha za kivita na mamluki kwa raia wasio na silaha.

MIJI YA ZANZIBAR KUPATA MSAADA WA DOLA 38 MILIONI BENKI YA DUNIA

By The Citizen Reporter

Dar es Salaam. The World Bank (WB) on Thursday approved an International Development Association (IDA) credit of $38 million to support implementation of a project aimed at improving access to urban services in Zanzibar.

The Zanzibar Urban Services Project (Zusp) will strengthen institutional capacity of the Zanzibar Municipal Council (ZMC) on Unguja Island and develop infrastructure, the World Bank said in a statement availed to The Citizen yesterday.

The infrastructure includes surface water drainage systems, solid waste collection and transportation, Streetlights and a sea wall such as a promenade along Mizingani Road within the World Heritage City of Stone Town.

The project will also support the Town Councils of Chake Chake, Mkoani and Wete on Pemba Island by strengthening their institutional capacity and through the identification and implementation of simple and small investments.

“There is an urgent need to accommodate Zanzibar’s rapidly increasing urban population and to develop policies and institutions to manage urban growth,” John Murray McIntire, World Bank Country Director for Tanzania, Uganda, and Burundi said.

“Zanzibar has an extraordinarily long and varied history, but the urban fabric is under severe stress,” observed Barjor Mehta, WB Senior Urban Specialist and the Task Team Leader of the project.

Together, the four main urban local authorities on the two islands contribute to the bulk of Zanzibar’s GDP, making them critical to the economy of the two islands.

Tourist arrivals on Zanzibar have increased, making the sector one of the most important economic activities on the islands.

Most tourists visit the Stone Town area, which has been listed as a World Heritage City by the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organizations (Unesco).

Substantial areas of the ZMC are very dense, unplanned and informally developed, with poor access to services.

Areas within the council suffer from severe and persistent flooding resulting in recurring damage to more than 3,600 houses and affects road infrastructure, interrupts water and electricity supply while increasing the risk from water borne diseases, including cholera.

Less than 25 per cent of the solid waste generated within the council is collected and transported to a waste disposal site.
There is a general lack of streetlights, which poses safety risks to the population.

The sea wall along Mizingani Road, which is key to maintaining Stone Town's cultural heritage, is in a very dilapidated state and in danger of collapse.

While several development partners have been supporting improvements in urban services in Zanzibar, the ZUSP will be the first WB supported urban sector project in the archipelago.

This is the third operation to be approved by IDA for Tanzania this fiscal year. In total, the WB’s currently active country portfolio includes 24 operations with a net commitment of $2.622 billion.

In addition, Tanzania benefits from 11 regional projects, in which the specific financing amounts to over $230 million

Friday, February 25, 2011

Motown Sound’ Resonates In White House Performance

‘Motown Sound’ Resonates In White House Performance

‘Motown Sound’ Resonates In White House Performance

‘Motown Sound’ Resonates In White House Performance

‘Motown Sound’ Resonates In White House Performance
WASHINGTON, DC – FEBRUARY 24: Jamie Foxx performs during “The Motown Sound: In Performance at the White House” program on February 24, 2011 in Washington, DC. Entertainers scheduled to perform were Smokey Robinson, John Legend, Sheryl Crow, Natasha Bedingfield, Seal and others. (Photo by Roger L. Wollenberg-Pool/Getty Images)

Jamie Foxx, John Legend, Seal, and others converged on The White House Thursday to tape “The Motown Sound: In Performance at the White House,” part of the Black History Month Celebration. You can check out the special next Tuesday night at 8pm on PBS.

tags: Jamie Foxx, John Legend, Seal, Jamie Foxx, John Legend, nick jonas, pbs Black History Month, seal, the motown sound, the motown sound: in peformance at The White House