Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipita kando ya daraja la mto Wami lililopo Wilaya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya Utalii.
Baadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipiga picha kando ya daraja la mto Wami lililopo Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya Utalii.
Baadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakifanya manjonjo yao mbele ya Video Kamera kando ya daraja la mto Wami lililopo Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya Utalii




No comments:
Post a Comment