Wadau wa facebook

Maelezo

Kwa matukio na matangazo wasiliana nasi Simu no' {301}728-3977. Email:swahilivilla@gmail.com

Thursday, August 26, 2010

MAPENZI KWANGU YALIKUWA MACHUNGU….!!!

Maneno hayo yanasemwa na alie kuwa mke wa mcheza golf maarufu duniani Tiger Woods, Bi Elin Nordegren wakati akihojiwa na vyombo vya habari. Kusema ukweli nilikuwa kama vile naishi motoni toka nilivyogundua anatoka nje ya ndoa.

Ndoa si ndoa kama hakuna uwaminifu tena. Ndio tulijaribu kusuluhisha matatizo yetu lakini haikufanikiwa.

Kusema ukweli sikuwahi kumpiga Tiger na fimbo ya kuchezea golf, huo ni ujinga, alisema mwanamama

No comments:

Post a Comment